Nafasi ya Kazi

To Build Happiness Is Our Happiness

Nafasi ya Kazi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YAPI MERKEZI (LOT-2)

(MRADI WA UJENZI WA RELI YA MWENDO KASI)

Yapi Merkezi ni Kampuni binafsi inayohusika na ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR) nchini Tanzania. Ili kuwezesha utekelezaji wa mradi kwa ufanisi kampuni ya YAPI MERKEZI inatafuta wafanyakazi wenye vigezo na sifa za kufaa kuweza kujaza nafasi zilizoorodheshwa hapa chini.

Dozer Operator

Concrete Pump Operator

Mobile Crane Operator

Topographical Operator

Rockdrill Operator

WAOMBAJI NI LAZIMA WAWASILISHE WASIFU WAO (CV) KUPITIA EMAIL IFUATAYO:

oac@ym.com.tr

(Tafadhali andika nafasi ya kazi unayoiomba katika kichwa cha habari (Subject) cha barua pepe yako)

Wasifu (CV) ni lazima ijumuishe vitu vifuatavyo

  • Nafasi ya kazi unayoomba
  • Namba za simu za muombaji wa kazi
  • Anuani ya makazi ya muombaji
  • Kiwango cha elimu na rekodi ya uzoefu wa kazi
  • Walau majina mawili ya wadhamini Pamoja na mawasiliano yao

MUHIMU KIZINGATIA

Tuma wasifu wako wa kazi pekee

Usiambatanishe barua nyingine wala vyeti

Nyaraka nyingine zitahitajika baada ya wasifu kufanyiwa kazi

TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI

Yapi Merkezi HATUNA MAHUSIANO na na kampuni yoyote ya kuajiri au wakala binafsi wa ajira!

Yapi Merkezi HATUTOZI GHARAMA YOYOTE au kupoke kiasi chochote cha pesa kwa ajili ya maombi ya kazi au kupata ajira!

Chukua tahadhari na toa taarifa kwa mamlaka husika kuhusukitendo chochote haramu kuhusu ajira.


İnternet sitemizde, çerez (cookie) kullanılmaktadır. İnternet sitemizde kullanılan çerezler (cookie) hakkında detaylı bilgi almak için www.ym.com.tr adresinde yer alan Çerez Politikasını inceleyebilirsiniz. Çerez tutulmasını istemiyorsanız Çerez ayarlarınızı dilediğiniz zaman değiştirebilirsiniz. Devam etmeniz halinde çerez (cookie) kullanımına izin verdiğinizi kabul edeceğiz.
Çerez ayarlarınızı değiştirmeniz halinde internet sitesinin birtakım özelliklerinin kullanamayabileceğinizi belirtmek isteriz.